| Kina dada watanashati wakisikiliza kwa makini mmoja wao alipokuwa akisoma Quran tukufu siku ya Eid El Fitr. |
| Bi dada Sharon akisoma Quran tukufu huku mkononi akiwa ameshikilia fedha ambazo alikuwa akitunzwa na walioguswa pale alipokuwa akisoma. |
| Kushoto ni bidada Cherie akiwa na bidada Moza walipokuwa wakisoma na kutafsiri Quran siku ya Eid |
| Huyu ni kaka Kareem ambaye hakubaki nyuma katika usomaji wa Quran.. |
| Bidada Cherie |
| Bidada Moza |
| Kaka Nabil |
| Mwalimu wa Madrassa kushoto akiwa na wanafunzi wake wakipata picha pamoja kuweka kumbukumbu. |
| Keki maalumu ya Eid |
| Ukiiangalia keki vyema utaiona jinsi ilivyochanganywa kitaalamu zaidi kwa matunda |
| Wageni mbalimbali walihudhuria sherehe za Eid siku hiyo |
| Kila mmoja alikuwa bize kupata sadaka ya Eid |
| Ndugu,jamaa na marafiki walijumuika pamoja katika sadaka ya Eid.. |
| Kwa upande wa kina mama nao hawakubaki nyuma,tunashukuru kwamba walitupa sapoti |
| Madada nao...... |
| Sherehe yetu ilipendeza mash`Allah |
Geen opmerkingen:
Een reactie posten