Kina dada watanashati wakisikiliza kwa makini mmoja wao alipokuwa akisoma Quran tukufu siku ya Eid El Fitr. |
Bi dada Sharon akisoma Quran tukufu huku mkononi akiwa ameshikilia fedha ambazo alikuwa akitunzwa na walioguswa pale alipokuwa akisoma. |
Kushoto ni bidada Cherie akiwa na bidada Moza walipokuwa wakisoma na kutafsiri Quran siku ya Eid |
Huyu ni kaka Kareem ambaye hakubaki nyuma katika usomaji wa Quran.. |
Bidada Cherie |
Bidada Moza |
Kaka Nabil |
Mwalimu wa Madrassa kushoto akiwa na wanafunzi wake wakipata picha pamoja kuweka kumbukumbu. |
Keki maalumu ya Eid |
Ukiiangalia keki vyema utaiona jinsi ilivyochanganywa kitaalamu zaidi kwa matunda |
Wageni mbalimbali walihudhuria sherehe za Eid siku hiyo |
Kila mmoja alikuwa bize kupata sadaka ya Eid |
Ndugu,jamaa na marafiki walijumuika pamoja katika sadaka ya Eid.. |
Kwa upande wa kina mama nao hawakubaki nyuma,tunashukuru kwamba walitupa sapoti |
Madada nao...... |
Sherehe yetu ilipendeza mash`Allah |